Thursday, April 5, 2018

KURUDI KUTOKA KAMPALA

Leo tarehe 5/4/2018 Mwenyekiti pamoja na Mratibu wanarejea hapa nchini kutoka Kampala Uganda .Tunaamin wamefanya vizur na tutapata mrejesho mzuri kutoka kwao.