Wednesday, April 4, 2018

SAFARI YA KAMPALA

Mwenyekiti na Mratibu wameenda KAMPALA nchini UGANDA kwaajili ya kufanya mkutano na wanachama w EACOM hii itasaidia kufanyika kwa mkutano mkuu mkoani DODOMA.