Thursday, March 29, 2018

KITULO

Tuliambizana kuwa kila ifikapo mwisho wa mwezi lazima kila radio ilete vido moja, picha za mnato tatu ili tuweze kupublish habari zinazoendelea katika maradio yenu. Lakini cha kushangaza mpaka sasa hakuna radio nyingine yeyote zaidi yua radio KITULO iliyopo MAKETE. Hivyo natoa rai kwa wanachama wengine ambao bado hamjatuma muweze kuzituma haraka iwezekanavo.